tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Building & Trade Services
  4. Interior Design Building & Trade Services
Interior Design

Interior Design

+1
5
Dar es Salaam, Ilala
50 views
4K Finishers co.
Company Name
Domestic & Industrial
Service Type
Hivi unajua unaweza kuifanya nyumba yako kuwa sehemu nzuri ya kuishi kama utatumia wataalam kudesign muonekano wa ndani baada ya kumaliza nje?? usitumie nyumba kama darasa, hakikisha unaandaa mazingira mazuri kama stand ya tv, meza za kujisomea jiko ambalo linakupa machaguo mengi ya wapi utatunza vitu vidogovidogo bila kuchafua mazingira yako, makabati ya nguo na viatu, vyoo vya kisasa kabisa kwa gharama unayoimudu. ifanye nyumba yako kuwa rafiki kimatumizi kwa kupangilia muonekano wa ndani kulingana na mahitaji yako
TSh 1,000,000
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and payment
  • Meet in person at a safe public venue
Report Abuse
  1. Interior Design Services