Tumekuwa tukitoa huduma za uchimbaji wa visima, pampu za maji na bomba kwa muda mrefu sasa.
Huduma tumeboresha ili kuwafikia watu wengi zaidi.
Gharama za kufanya underground water survey zitafidiwa kwenye gharama ya kuchimba kisima.
Gharama ya kufunga pump( installation cost) itafidiwa kwenye gharama ya kuchimba kisima, hii ni kwa pump ya umeme tu, kwa pump ya solar , installation cost atalipia mteja.
Gharama za kuchimba inategemea na mkoa;
DSM: Chini ya mita 50 ni 3.5M
Juu ya mita 60 ni 60k - 70k kwa mita.
Pwani, Morogoro: 90k - 100k kwa mita moja.
Iringa,Mbeya: 130k - 160k kwa mita moja.
Tanga, Arusha: 140k - 160k kwa mita moja:
Huduma ya water fittings, yaani kuunganisha tank za maji na mfumo wa maji kwa jumla gharama zake ni maelewano baada ya kufika site (site visiting)
Bila kusahau pump za maji kwa ajili ya kisima zinapatikana, (ofisi ya Dar es salaam, mikoani tunatuma mzigo) zipo za umeme na solar kwa gharama nafuu zaidi.
wasiliana nasi sasa tukuhudumie.
Gerezani, DSM