tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Building & Trade Services
Favorite Plan 3 Bedrooms

Favorite Plan 3 Bedrooms

+1
Dar es Salaam, Ilala
48 views
4K Finishers co
Company Name
Domestic & Industrial
Service Type
Architectural Drawing
Type
NAJUA UNAIPENDA HII, Hii ni ile ramani uipendayo ya vyumba vitatu, sebule, jiko dining na store. public toilet, master bath na chumba kimoja kina choo chake (self contained), ndiyo, ina ukubwa wa 12*9 tu hivyo kama uwanja wako ni 20*20 na kuendelea basi hii si ya kukosa, haitumii bati nyingi (okoa pesa kwenye bati), haitumii mbao nyingi kuezeka (okoa pesa kwenye mbao) vyumba vyote vina madirisha mawili (okoa pesa ya umeme kuwasha feni) utasimamiwa ujenzi wa nyumba yako kwa gharama nafuu (usisite) utapatiwa ramani zote zinahusika na ujenzi yaani floor plan, roof plan, foundation plan, section,site layout,fence plan, septics na elevations vyote kwa 150000. ukihitaji na makadirio ya materials na labour charges utalipia 50000 zaidi na utapatiwa ushauri wa kiujenzi muda wowote. p.s kumbuka unastahili nyumba na sio kijumba.
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and payment
  • Meet in person at a safe public venue
Report Abuse
  1. Flooring Services
  2. Roofing Services