tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Building & Trade Services
  4. Flooring Services
Dar es Salaam, Ilala
82 views

3 Bedrooms Contemporary

+1
3
4K Finishers co
Company Name
Domestic
Service Type
OFFER kumbuka hii kabla hujanunua ramani ya nyumba yako; #1. hakikisha mtaalamu anayekuandalia ramani anaweza kupatikana wakati wote wa ujenzi, hii ni kwasababu upo uwezekano mkubwa wa mafundi kumuhitaji kwa ajili ya ushauri (consultation). Ramani hii imejengwa huko mbeya na ndugu Jackson na amekuwa akitupigia mara kwa mara ili kuhakikisha anafanya kile kinachotakiwa kufanyika na hii itakusaidia kuepuka kubomoa bomoa kupata muonekano halisi. #2. Hakikisha pia unapata ramani inaendana na uwanja wako kwasababu kupunguzia ramani wakati wa kuseti kutaathiri vitu vingi sana kwenye muonekano wa nyumba yako * Ramani hii ina 3bedrooms (master included) + living+ dining+ kitchen & store. detailed drawings; 1. floor plan 2. foundation plan 3. roof plan 4. all elevations 5. septics 11*13m, ukihitaji na makadirio ya gharama za ujenzi na materials bei itaongezeka. karibu
3 Bedrooms Contemporary 3 Bedrooms Contemporary 3 Bedrooms Contemporary
Report Abuse
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and remuneration
  • Meet in person at a safe public place
  1. Roofing Services