tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Building & Trade Services
  4. Construction Services
Dar es Salaam, Ilala
25 views

2 Bedrooms, Living, Open Kitchen to Dining

+1
4K Finishers co
Company Name
Domestic & Industrial
Service Type
Architectural Drawing
Type
Using ArchiCAD
Drawing Execution Technology
4 years
Architectural Drawing Work Experience
Wachache tu wanaotaka kujenga ndo watasoma hii; napenda kukuambia rafiki kupata nyumba (ramani) unayoitaka, basi huna budi kuandaliwa ramani yako mwenyewe utakayoi design mwenyewe ndio design inaanzia kwako maana wewe ndio unajua nyumba yako unataka iwe na nini na nini huko ndani na nje pia, hii ramani hapa ni ya mteja wetu ndugu Sunday, ambaye alituamini na kutupa mahitaji yake (requirements) na hicho ndicho kilichofanyika ndani ya siku mbili tu. Unataka ramani na huna imani na unayetaka kumpa kazi, njoo Whatsap tutalimaliza hili kwa mazungumzo tu. Unastahili pia kupata matokeo site kama ilivyo kwenye karatasi hivyo tunatoa huduma ya construction and Supervision kwa gharama nafuu kabisa. P.S OFFER ya MWAKA MPYA 2022 inaendelea na utapata michoro na makadirio ya ujenzi kwa Tsh 100,000/-, OKOA 50,000 *una swali?? usisite acha comment yako hapo na utajibiwa ASAP
2 Bedrooms, Living, Open Kitchen to Dining 2 Bedrooms, Living, Open Kitchen to Dining 2 Bedrooms, Living, Open Kitchen to Dining 2 Bedrooms, Living, Open Kitchen to Dining
Report Abuse
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and remuneration
  • Meet in person at a safe public place