tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Leisure & Activities
  3. Books & Table Games
  4. Bora Books & Table Games
Dar es Salaam, Ilala, 2 days ago
4 views

Uza Ki Smart

+1
Brand New
Condition
Books
Type
UZA KI SMART 🤓 Uza kwa Akili. Ongeza Mauzo. Na Hashim Baloge | TechKijanja Unauza bidhaa au huduma lakini customers wanauliza bei na kupotea? Unafanya follow-up lakini hujibiwi? Unapata likes na followers kwenye mitandao ya kijamii lakini hazibadiliki kuwa mauzo? UZA KI SMART ni kitabu cha vitendo kinachokusaidia kubadilisha namna unavyofikiri kuhusu mauzo na kujenga mfumo bora wa kuwafikia, kuwaelewa, kuwashawishi na kuwahudumia customers. Ndani ya kitabu utajifunza kuhusu: • Psychology of Selling — kuelewa namna customer anavyofanya maamuzi ya kununua. • Soft Selling — kuuza bila kumbana au kumlazimisha customer. • Ethical Persuasion — kutumia mbinu za ushawishi kwa uadilifu. • UZA KI SMART — Uza kwa Akili. Ongeza Mauzo.
TSh 10,000
Fixed price
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif