Palmer’s coconut hydrate body oil
ngozi yenye ulaini, unyevunyevu na mng’ao wa kuvutia inaanzia hapa!
jipatie palmer’s cocoa butter formula coconut hydrate body oil kwa ajili ya kuipa ngozi yako unyevunyevu na kuifanya ijisikie laini na yenye mwonekano wenye afya.
harufu nzuri ya nazi
husaidia kuhifadhi unyevunyevu wa ngozi
huacha ngozi ikiwa laini na yenye mng’ao wa kuvutia
usikose kujipatia yako!
inapatikana vinara beauty store
tuma ujumbe inbox kuagiza yako leo!
vinara beauty store — uzuri wako, kipaumbele chetu!