Original moisturizing body gloss .
~moisturizing oil ambayo imeundwa kwa active ingredients ambazo zinaenda kukupa muonekano mpya wa kuvutia .
● ukitumia hii oil inaenda kupenya moja kw moja ndani ya ngozi na kukupa ngozi laini na nyororo .
●oil inaenda kuondoa mikunjo mikunjo yote kwenye ngozi yako .
●oil ambayo inaondoa ukavu wa ngozi , n kufanya ngozi yako kuwa na unyevu nyevu muda wote .
●oil ambayo inakupa muonekano mmoja mwili mzima . ...
●kama wewe unakaaa sana juani , basi hii ni yako inazuia ngozi kuharibika na jua .
●kama umeharibika na cream kali , unawekundu kwenye ngozi , chukua hii italudisha ngozi yako kwenye hali yake .
.
. ... tunafanya delivery na mikoani tunatuma...