Molato plus+ half cast super whitening soap .
● leo tuzungumzie kuhusu malato soap , ni sabuni yenye mchanganyo wa vitu mingi , yaani humo kuna serum , aha , herbal , glutathione , alpha arbutin .
●ni sabuni ambayo sio kama izi za kawaida , ni sabuni mbayo inabalaaa kwenye ngozi , yaani unaweza usitumie hata losheni ukang'aaa vizuri sana na kupata ngozi utakayo .
● yaani nasemaje eee , itaondoa chunusi zote , inalainisha sana na ngozi inakuwa nyororoooo muda wote , inaondoa madoa madoa yaani kama ngozi yako ngumu kama ya mamba au madoa magumu hayatoki , basiiii chukua hii kitu .
unatak kuwa na ngozi lainii na nyororooo muda wote chukua hii .
●tunazingatia ubora wa bidhaa zetu !