Ht26 paris argan oil multi-lightening lotion .
.
. •active ingredients
- argan oil
●inafuta madoa na sugu ;-
-inafuta sugu na madoa meusi yote kwenye viwiko , magotini , miguuni .
●inatakatisha ngozi
- inang'arisha ngozi vizuri sana bila kukuchubua , inaondoa ngozi iliyofubaa kabisa .
●inaondoa mikunjo (anti wrinkles ) ,
- inaondoa mikunjo yote ya uzee na kukupa muonekano wa ujana zaidi muda wote .
●uwepo wa argan oil (skin glow )
- argan oil inafanya ngozi inawiri kuwa na muonekano mmoja mwili mzima .
●argan oil inalainisha ngozi
- kama unangozi ngumu kama mamba , hii ni yako mpendwa
imeutwa na viungo ambavyo vinaenda kuondoa ukavu wa ngozi na kuwa lainiiiii muda wote .
.
.
.tunafanya delivery popote tanzania na nchi jirani