GLOW LIKE a QUEEN — Ngozi Yako Inastahili Mwonekano Wa Kifahari!
Dar es Salaam, Ilala, 1 day ago
3 views
GLOW LIKE a QUEEN — Ngozi Yako Inastahili Mwonekano Wa Kifahari!
+1
Body Lotions
Type
Unisex
Gender
Brand New
Condition
Eden Queen Body Milk
Kwa anayependa ngozi yenye unyevu, ulaini na mwonekano wa kung'aa, hii ni chaguo zuri la body milk. Inafaa zaidi kulenga wanawake, ingawa body milk inaweza kutumiwa na mtu yeyote kulingana na mahitaji ya ngozi.