Dr teal's vitamin c body lotion .● imeundwa kwa wingi wa vitamin c, e na shea butter muhimu kwa ngozi .••ngozi za mafuta , itaenda kunyonya /kuondoa mafuta yote kwa sababu ya citrus .••inafanya ngozi laini na nyororo muda wote .••inaharufu nzuri sana .••inaenda kuondoa mikunjo mikunjo kwenye ngozi .••inaondoa chunusi usoni .••