DE.BLANCHE MANGO GLOW BODY OIL
Ungependa ngozi yako ionekane yenye mng'ao na ulaini? Jaribu De.Blanche Mango Glow Body Oil yenye dondoo la embe na viambato kama Niacinamide, Glycerin na Ceramide.
Husaidia kuipa ngozi unyevunyevu. Husaidia kuifanya ngozi ionekane yenye mng'ao. Ina viambato vinavyosaidia kutunza na kulainisha ngozi. Chupa ya 250ml.
Karibu ujipatie yako leo! Bidhaa nzuri kwa ajili ya utunzaji wa ngozi yako.
Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Mafia na Bonde. Wasiliana nasi kwa bei na maelezo ya delivery.