Ad is archive
find similar ads in Bath & Body in Ilala

• Archive: Aloe Handsoap

Archive: Aloe Handsoap

Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
Soap
Type
Archive: Forever hand ( aloe ) soap
ni sabuni ya maji ya aloe vera iliyochanganywa na tango, limao na mafuta ya mzaituni.
Ni sabuni yenye ph - balanced kwenye ngozi hutumika kwa kuogea na kunawia.
Faida zake kiafya
1. Husaidia kung'alisha na kutakatisha ngozi kuwa asilia.
2. Hufyonza uchafu na mafuta kwenye ngozi na kuifanya ngozi kuwa yenye unyevu na nyororo.
3. Hunyonya mafuta kwenye ngozi na kutibu chunusi hivyo ukitumia na mafuta yake huleta matokeo mazuri zaidi.
4. Huboresha na kuirudisha ngozi iliyochoka au kuathirika na vipodozi au mafuta yenye kemikali irudishwe hali yake ya asilia.
5. Huondoa miwasho kwenye ngozi, vipele, mapunye na fangasi.
6. Ukisafishia sehemu za siri husaidia kuzuia na kuua bacteria wa u.T.I, fangasi na kuondoa harufu mbaya ukeni na kukaza maumbile ya kike kuwa ya kawaida pia nzuri kwa mtu aliyetoka kujifungua kujisafishia.
6. Nzuri kwa watoto kuogea inawasaidia kuua bacteria wa ngozi, kuzuia vipele vya joto na ukuaji wa nywele kichwani.
CLOSED

Clesencia Juma

Last seen 2 days ago

Similar adverts