Seti Kali za Mabegi 3-in-1 (Backpack + Side Bag + Pouch) Zimeingia!
Hii ni seti kamili inayokupa kila kitu unachohitaji kwa pamoja. Inajumuisha begi kubwa la mgongoni (Backpack), begi la pembeni (Side Bag/Crossbody), na kapochi kadogo (Pouch) kwa ajili ya vifaa vidogo vidogo. Nyenzo ni imara na zisizopitisha maji kwa urahisi, yanafaa kwa wanafunzi wa shule, chuo, au mitoko