Handbags za Kisasa na za Kijanja (Mizigo Mipya!)
Jipatie mikoba (handbags) mizuri sana ya kisasa, imara na yenye mwonekano wa kifahari. Ni mikoba inayofaa kwa matumizi ya ofisini, mitoko ya jioni, sherehe au mtoko wowote wa kawaida. Inakuja na kamba ndefu ya ziada (adjustable strap) inayokupa uhuru wa kuibeba mkononi au began