Ad is archive
find similar ads in Baby & Child Care in Ilala

• Archive: Forever Kids And Grow Up

Archive: Forever Kids And Grow Up

Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
Brand New
Condition
Food
Type
Archive: Mara nyingi our current lifestyles zinatupelekea tuwe kwenye deficiencies za nutrients muhimu bila hata kujijua... Forever kids is the best multivitamin and multimineral supplement i recommend for you na familia... Na despite the name, this multivitamin siyo kwa watoto tu ndo mana imeandikwa for kids and grown ups! faida zake:
- kuongeza kinga ya mwili (kutokana na vit c, d, zinc)
- kuongeza uwingi wa damu (ina folic acid na iron)
- kutunza afya ya mapafu (kutokana na uwingi wa vit c) muhimu sana kufight viral infections pia
- kuongeza hamu ya kula (multivitamin)
- kuboresha afya na ukuaji wa mifupa (calcium na magnesium)
- kupunguza kuumwa mara kwa mara sana sana kwa watoto na hata mafua mafua na koo kwa watu wazima
- kukupa lishe iliyokamilika na virutubisho vitokanavyo na mboga mboga na matunda
and as a bonus ina ladha nzuri saana ambayo watoto na watu wazima huipenda
a true must have for every home!
Karibu sana upate yako
CLOSED

Hellen Andrew

Last seen 4 months ago

Similar adverts