EPIMAX Emollient Moisture Cream .
Ni Cream ya watoto.
Epimax itaifanya ngozi ya mtoto kuwa MOISTURE(unyevu nyevu ) muda wote kwa wale wenye ngozi kavu .
Epimax hukarabati/hurudisha ngozi ambayo imeharibika na Kuungua , Alegi ,...
Epimax itaifanya ngozi ya mtoto kuwa SOFT muda wote .
Epimax itaweza kusaidia mtoto bacteria wale ambao wanaodhuru ngozi wasimdhuru .
.