EPIMAX Baby And Junior Cream .
●Mafuta kwa ajili ya Watoto .
●Itaenda Kuondoa Ukavu wa ngozi kwa Mtoto na Kuongeza Unyevu nyevu .
●Itaenda Kuondoa (Kuua ) Bakteria Kwenye Ngozi ya Mtoto .
●Itaenda Kuipa Ngozi ya Mtoto Afya na Muonekano Mzuri zaidi .
●Itaenda kuondoa Vipele na Mikunjo mikunjo kwenye Ngozi .
●Inafaa kwa Watoto wenye Allerg (Aleji ) ya Ngozi .