Hiii ni set kwaajili ya usafi wa mtoto hapo utapata vitu vifuatavyo
-large bath dish
-small bath/washin dish
-dust bin
-baby puh dish
-baby sit
-baby bath kit storage
-baby shower cup
wewe kama mzazi ni vizuri kumnunulia mtoto vifaa vyake vya kuogea na usafi ili kumuepushia magonjwa ya ngozi kama upele, miwasho ambayo ataipata kama atachangia vitu vya kuongea na watu wazima. chukua hatua kwa afya ya mwanao