Kwanini hii ndio spika yako ya sasa?
Bass kubwa: Nguvu kubwa ya 96W Peak / 40W RMS ikiwa na ma-woofer mawili na tweeters mbili.
Sauti inatoka safi bila kukwaruza!Masaa 12+ ya Burudani: Inakuja na betri ya nguvu ya 7650mAh. Unapiga mziki siku nzima hadi usahau chaja nyumbani.
Ujanja wa Kuchaji Simu: Njia ya Type-C Fast Charging na inafanya kazi kama Power Bank pia. Simu yako ikizima unachomeka hapo hapo juu ya spika.
Inastahimili Maji (IPX7): Hata kukiwa na mnyunyizo wa mvua au splashes za maji, mziki hauachi kudunda.Kila Njia Inakubali:
Unganisha kwa Bluetooth 5.4, weka Flash, Memory Card (TF), au chomeka waya wa AUX kwenda kwenye TV yako.