Sifa Zake Kuu:
Hands-Free: Huna haja ya kushika mic, mikono inabaki wazi.
Sauti Safi: Inanasa sauti yako pekee na kuondoa kelele za chumba.
Unyepesi na Starehe: Ni nyepesi sana, haiumi wala haikubani kichwani.
Inafaa kwa: Walimu, Wafundishaji, Nyumba za Ibada, Matangazo na Presentations.