Sauti Safi na Yenye Nguvu: Inatoa Bass nzuri na sauti ya juu isiyochuja, inafaa kwa matumizi ya ndani na nje ya nyumba (Indoor & Outdoor).
Inakuja na Microphone: Ni nzuri sana kwa ajili ya Karaoke, mikutano midogo, matangazo, au burudani ya muziki.
Muunganiko wa Kisasa: Inasoma Bluetooth, USB flash drive, TF/Memory card, na ina redio ya FM.
Taa za Kuvutia (LED Lights): Ina taa za rangi zinazopendeza kwenye eneo la spika ambazo zinabadilika na kuleta
staili ya burudani wakati wa usiku au kwenye sherehe ndogo.
Inachukulika kwa Urahisi (Portable): Ni nyepesi, ina betri inayochajiwa na kudumu, na inakuja na Remote Control kwa ajili ya kurahisisha matumizi ukiwa mbali.