Shure Sm7b Dynamic Vocal Microphone, kwa ajili ya
Kurekodi mazungumzo na vipindi vya podcast (Podcasting)
Kutangaza moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii kama YouTube na Facebook (Live streaming)
Utangazaji: Kutumika kwenye redio na vipindi vya televisheni.
Kurekodi sauti studio: Kurekodi sauti za waimbaji na wasemaji kwa ubora wa hali ya juu.