Unataka bass kali na muonekano wa kisasa? MR UK UK 911A imewasili kwa bei rafiki!
170W Power – Furahia burudani ya muziki wako
8-Inch Subwoofer – Kwa bass yenye nguvu
Bluetooth – Unganisha simu yako bila waya
FM Radio – Sikiliza redio unazozipenda
Remote Control – Dhibiti subwoofer ukiwa mbali
LED Lights – Muonekano wa kisasa unaovutia
2.1 Channel System – Subwoofer pamoja na satellite speakers
BEI: TSH 250,000/- TU!
Inafaa kwa burudani ya nyumbani, muziki na kuangalia movies.
Wahi kuagiza yako leo!
MR UK – Home of Best Quality