tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Electronics
  3. Audio & Music Equipment
  4. Receivers
  5. UHF Audio & Music Equipment
Dar es Salaam, Ilala, 9 hours ago
1 views

Kodtec Headset Mic

+1
Microphones
Type
Brand New
Condition
KODTEC
Brand
Wireless
Form Factor
Other
Polar Pattern
16
Microphone Bit Depth
UHF
Microphone Connectivity
No
Exchange Possible
Delivery
Across country
1-3 days
TSh 3,000 - 20,000
KODTEC KT-6102U WIRELESS MICROPHONE SET Seti Kamili Inajumuisha: Mic 2 za kufunga kwenye shati (Lapel Microphones) Mic 2 za kuvaa kichwani (Headset Microphones) Receiver ya Wireless yenye betri ya kuchaji Vifaa vyote muhimu vya matumizi Mfumo wa UHF Wireless wenye mawimbi imara na sauti safi Receiver ni ndogo, rahisi kubebeka na ya kuchaji. Inanasa mawimbi vizuri sana hata ukiwa umbali mkubwa. Rahisi kutumia bila ujuzi maalum. Inafaa kwa mahubiri, ufundishaji, MC, mafunzo na matukio mbalimbali. Kumbuka: Seti ina mic 4 lakini unaweza kutumia mic 2 kwa wakati mmoja. Mfano: Mtu mmoja atumie mic ya kwenye shati na mwingine atumie ya kichwani. Watu wawili watumie mic za kichwani. Watu wawili watumie mic za kwenye shati.
TSh 230,000
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif