Muundo Mdogo na wa Kipekee (Collar Clip Button): Ni maiki ndogo ya kisasa inayobandikwa kwenye nguo kwa urahisi kama kitufe, haileti uzito na inapendeza sana wakati wa kurekodi.
Teknolojia ya 2.4G Wireless: Inatoa muunganisho imara na wa haraka bila usumbufu wa waya, unaofaa kwa video, mahojiano, mitandao ya kijamii, na vipindi vya moja kwa moja (live streaming).
Sanduku la Kuchajia lenye Digital Display: Inakuja na kiesh/sanduku lake maalum la kuhifadhi na kuchajia lenye kuonyesha kiwango cha betri kwa njia ya namba (digital display).
Sauti Safi na Isiyo na Kelele: Inachukua sauti vizuri na kwa ufasaha mkubwa huku ikipunguza kelele za pembeni ili kukupa matokeo bora ya kazi zako.