Uwezo wa Watt 120 (120W Surround Bass): Sauti kubwa na bass nzito ya kutosha bila kwaruza.
Betri Inayodumu: Inakaa na chaji hadi masaa 6+ ukiwa unasikiliza muziki bila hofu ya kukatika.
Taa za RGB (Colorful RGB Lights): Zinabadilika kulingana na mdundo wa muziki, zikitoa mwonekano wa kuvutia sana.
Teknolojia ya TWS (True Wireless Stereo): Unaweza kuunganisha spika mbili kwa pamoja ili kupata sauti ya kipekee.
Njia Mbalimbali za Kuunganisha: Bluetooth, USB Flash, Memory Card (TF Card), na AUX cable.
DSP Built-in (Digital Signal Processing): Inahakikisha sauti inatoka ikiwa safi na yenye ubora wa juu.
Muundo wa Kishikio (Handle): Rahisi kubeba popote unapoenda.