Mawasiliano ya Bure: Ongea bure masaa 24 bila kuhitaji salio wala bando.Mawasiliano ya mbali: Inasafisha sauti vizuri na kufika mbali bila shida yoyote.Idadi ya Chaneli: Ina chaneli 16 (16 Channels) zilizosetiwa tayari kwa matumizi.Battery Imara: Inakuja na betri ya Lithium-ion inayokaa na chaji muda mrefu sana.Tochi ya LED: Ina tochi ya juu yenye mwanga mkali sana kwa ajili ya usiku au dharura (High Illumination Flashlight).Vifaa Kamili: Kwenye box unapata redio zenyewe, chaja (charging docks), na earpieces (hedfoni za sikioni) kwa ajili ya kuongea kwa siri na kwa urahisi.