Kama wewe ni kijana uko chuo kikuu, au umehitimu , au uko kwenye #ajira , au wewe ni #mjasiriamali na unatamani #kufanikiwa basi hii ni ya kwako.
kwa miaka mingi sasa tumekua tukifanya kazi na watu tofauti na kuwaonyesha namna wanaweza #kufanikiwa na kuwa #wajasiriamali kupitia #biashara yetu kubwa kimataifa.
na kwa kufanya ivyo basi kilasiku tunawasherekea watu tofauti waliotimiza malengo yao madogo na makubwa.
kama na wewe unatamani kubadili chochote kwenye #maisha yako, basi huu ndio wakati wako wa #kufanikiwa na kuishi maisha ya ndoto zako.
usiogope kunitumia msg dm ili kujua zaidi,
au nicheki kwa simu au whatsapp no. +
nitakuonyesha namna na wewe utafikia haya #mafanikio
karibu sana!
#helpingyouthsucceed #thevictorious #entrepreneur #foreverproud #youthadvocate #youthbusinesscoach
#businessbuilder #youthentrepreneurcoachy #daressalaam #vijana
tunapatikana makumbusho jengo la tanzanite park floor ya tano piga simu kwa maelezo zaidi