Bidhaa zetu ni nzuri ubora wakuaminika pia bidhaa zetu zina matumizi mbalimbali mfano kama khanga unaweza kushona,kujifunga kwa mtu mnene na mwembamba,pia kumpelekea mtu kama zawadi ukija kwenye kitenge pia unaweza kushona na kujifunga ni pure cotton