Umbali Mrefu wa Mita 200 (Long Range): Inarusha signal kwa ufanisi mkubwa hadi umbali wa mita 200 bila kukatika.
Ubora wa Picha (1080P @ 60Hz): Inasawazisha video ya Full HD yenye muonekano safi na wa dhahiri kabisa.
Plug & Play (Urahisi wa Kutumia): Haina haja ya install programu au Application yoyote, unachomeka tu kwenye HDMI na inaanza kufanya kazi papo hapo.
Teknolojia ya 5GHz Frequency: Inatumia masafa ya 5GHz kuhakikisha signal ni imara na haina delay (Ultra-low latency ya sekunde 0.05s).
Multi-Device Mirroring: Inawezesha kuunganisha vifaa mbalimbali kwa urahisi.