Sifa Kuu (Key Features):
Ukubwa wa TV (Size Range): Inakubali TV za ukubwa wa kuanzia nchi 14" mpaka 55" (LED, LCD, Plasma, Smart TV).
Uwezo wa Uzito: Inahimili uzito wa hadi Kilo 50 (Max 50kgs).
Full Motion / Swivel & Tilt: Unaweza kuivuta mbele, kuizungusha kushoto na kulia (swivel), na kuinamisha juu au chini kwa urahisi ili kupata pembe bora ya kuangalia.
Uimara wa Hali ya Juu: Imetengenezwa kwa chuma imara na salama kwa ajili ya usalama wa TV yako.
Brand New: Mpya kabisa kwenye boksi ikiwa na vifaa vyote vya kuifungia (screws/bolts).