Nyumba ya vyumba 12 ya kibiashara inauzwa milioni 600 ipo llala Bungoni center, ipo mjini, imejaa wapangaji, chumba kimoja kodi ni tsh laki Moja Kwa mwezi mmoja, ni eneo safi kwa biashara za aina mbalimbali, huduma zote za mjini zipo karibu na nyumba hii, karibu Sana kwa uwekezaji zaidi, /Twaha Ctm. Nb, ina hati miliki kutoka wizara ya ardhi, pia ina maji ya dawasko. Maji safi ya kunywa.