tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Leisure & Activities
  3. Books & Table Games
Tabora, Igunga, 30/10
20 views

Kwanini Ni Muhimu Mama Na Mwenzi Wake Kuanza Kliniki Mapema

Brand New
Condition
Books
Type
Self-Help
Genre
Adult
Age Level
221
Number of Pages
2021
Publication Year
Hardcover
Format
Delivery
Across country
1-2 days
Free of charge
Ndani ya kitabu hiki utajifunza: 1. Jinsi ya kutofautisha kati ya dalili za Mimba ya kawaida(Normal pregnancy, Mimba isiyo ya kawaida( Abnormal pregnancy, Mimba hewa( Anembryonic Pregnancy, Mimba zabibu(Mole pregnancy) na jinsi ya kuzigundua mapema mimba chini ya wiki 12 2. Faida 21 Kwa nini ni muhimu Kwa mama na mwenzi wake kuanza Kliniki Mapema mimba chini ya wiki 12 3.Mambo ya kuzingatia kabla kushika ujauzito, wakati wa ujauzito, uchungu, kujifungua na baada ya kujifungua 4. Jinsi ya kukabiliana na matatizo/ changamoto zitokanazo na uzazi 5. Mashauri kuhusu malezi na makuzi ya mtoto tangu akiwa tumboni hadi Miaka mitano 6. Mashauri ya kitaalamu kabla hujaanza kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango Hayo ni machache kati ya mengi utakayojifunza ndani ya kitabu hiki.
Show contact
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif