Viwanja Vizuri Vinauzwa Madale Kwa Mzungu

Posted Apr 23
Goba, Kinondoni, Tanzania
152 views
Residential Land
Type
400
sqm
Square meters
Residential
Property Use
Car Parking, Electric Supply, Gas Supply, Rain Water Drainge, Domestic Sewage, Water Supply
Facilities
Mradi mpya!!
madale kwa mzungu.
-ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-umbali ni 1km toka barabara kuu(wazo road).
-viwanja vimepimwa.
-barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-huduma zote za kijamii zinapatikana.
-ni mahali pakununua na kujenga sasa.
-hati utapewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
malipo
unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 3 ukiigawanya kwa kila mwezi.
  • Viwanja Vizuri Vinauzwa Madale Kwa Mzungu
  • TSh 12,000,000
    Last seen 10 hrs ago
    0763465758
    Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

    Similar adverts