"la vida est bella ,perfum" ni manukato mazuri(bomba) sana yenye kukaa kwa nguo muda mrefu sana , pia hayana harufu kali .
Ingredients(viungio) ; aqua, fragrance , citronellol ,methylpropional ,benzyl alcohol .
Kuteng...
"Explore Perfum " ni yenye manukato bomba(halufu nzuri )kabisa na inakaa kwenye nguo muda mrefu (long lasting perfum ) pia sio yenye harufu kali .
.Exprore perfum ikiipulizia haiachi madoa kwa nguo na haina madhara kwa...
"Brown Orchid perfum " ni perfum yenye manukato bomba kabisa na yenye kukakaa kwenye nguo muda mrefu (long lasting Perfum ) .
.
.Ukijipulizia haina harufu kali(imepoa) sana na haikeri .
.
.Inatengenezwa katika nchi y...
25th edition for men & 25th edition for women
ni perfume zenye marashi mchanganyiko ya maua na matunda asilia ambayo hutoa harufu nzuri kwa mtumiaji na bila kuwakwaza wengine.
Ni perfume zisizoongezewa alcohol yeyote katika u...