Aloe Ever Shield Deodorant Stick (FOREVER ) . Deodrant ambayo haina KEMIKALI kabisa . Deodorant Ambayo Haichafui NGUO kabisa . Deodorant itaondoa WEUSI kabisa kwenye ngozi . Deodorant ambayo haina ALUMINIUM (ambayo ni hatarishi kwa ngozi ) Aloe ever shield inaondoa muwasho kwapani, weusi kwapani na kati kati ya mapaja, vipele na harufu mbaya ya kwenye kwapa na aina chumvi chumvi za kikemikali kama deodorant zingine