Dulaiki manufacturing industries company
tunatengeneza buti za ulinzi za ngozi.
bei ya jumla na rejareja.
viatu vimetengenezwa kwa ngozi hali kabisa.
pua ipo ya chuma 85000 kawaida 65000
pia zimezungushiwa uzi.
imara katika mazingira yoyote ya mvua na jua.
tupo dodoma makulu
nb tunasafirisha mikoani