Nauza volvo fm12 macho ya panzi 440
ziko 6 tativo ni upande wa umeme control box na mavalv ya upepo engine gear chases difu na kibin nakupa gerenti vizima bai kila moja naitakiya milion 15 mazungumzo yapo towa ofa yako
Lg led 32 inches full hd zipo tv na remote zake used bei 350,000 zipo 3 wahi mapema kama unahitaji warranty miezi 6 details zake
hdmi 2 ports ✅
usb 1 port✅
av✅
audio output ✅
dtv ✅
kwa mawasiliano
Printer hii inachapisha picha, inatoa kopi nyeusi hadi 15000 na rangi hadi 8000, kus can, kutoa passport size nk nimeamua kuacha kazi za stationary ni nzuri sana kwa siku inauwezo wa kutoka zaidi ya kopi 3000 picha zaidi ya 1000 na pia inatoa picha za ukumbwa wa a4 pia wino wake upo full ni kachukua na kufanya kazi tu ni ngumu sana. inafanya kazi nyingi
Jamani nauza baiskeli yangu ninayoitumia mimi mwenyewe;
aina ya baiskeli: deeper
gia: shimano gia 6
condition: used and very good
location: sinza lego
unabadilisha tube ya tairi la mbele tu, mzigo unapiga kazi kama kawaida.
mawasiliano (sms/calls (whatsapp)
Bei 30 mazunguzo yapo kioo cha nyuma kimevunjika ila matengenezo yote yatakatwa kwa muuzaji baada ya kufika kwa fundi na kukubaliana matengeneza muuzaji atalipia ipo barabarani kama route inavyoonyesha
Kiwanja kipo dodoma ilazo mita chache toka kwenye barabarani ya lami, kuna barabara zaidi ya 4 kufika site, eneo ni zuri tambarare kumeshajengeka mno. ilazo extension block d karibu na martin lurther
Kiwanja kizuri sana kinauzwa , kipo miganga north kiwanja kina ukubwa wa 600m2 kina hati kubwa ya miaka 99, kiwanja kina barabara nzuri , mahali kilipo kiwanja ni umbali wa kilomita 5 mpk mjini bungeni. bei yake milioni 7 kama unahitaj nipigie simu
Nauza kiwanja cha hotel site sqm 6000+ kiwanja kimezungukwa na barabara 4 kuu za mtaa pia kipo mita 300 tu kutoka lami ya morogoro road eneo hilo lishajengeka kuna sheli mbili za banji eneo ni tambarare uwanda wa juu kupata eneo ambalo limepimwa kwa ajil ya hotel ni fursa kubwa sana if interested njoo nikupeleke site na malipo ni cash not installment
Jipatie games tofauti kwa bei nafuu zaidi.
Games za computer, games za ps2 na ps3.
Kwa wenye computer kama game itashindwa kuingia kwenye pc yako tutakufanyia service bure then tunakuwekea game