Viwanja Vinauzwa Dodoma Mjini.

Posted Oct 7
Dodoma Rural, Dodoma Region, Tanzania
128 views
Residential Land
Type
546
sqm
Square meters
Residential
Property Use
Viwanja vipo kikuyu miganga na nkonze. Ni km 6 tuu toka dodoma mjini. Viwanja vyote vimepimwa na kulipiwa gharama zote za upimaji.
Huduma zote za kijamii kama barabara, maji, umeme na hospital zipo.
Bei ni kuanzia ml. 3 na kuendelea kulingana na ukubwa na sehemu kilipo.
- viwanja ni vizuri sana vipo tambalare (flat ground).
-havina dalali , mimi ndio mmiliki na muuzaji.
-viwanja tayari vina makazi ya watu.
Viwanja vinajiuza vyenyewe, wahi mapema.
Wasiliana nami kwa:"karibu tukuuzie kiwanja ujenge nyumba ya ndoto yako."
karibu tukuhudumie kwa huduma ya uhakika kwa nyaraka halali.
065 xxx
 • Viwanja Vinauzwa Dodoma Mjini.
 • Viwanja Vinauzwa Dodoma Mjini.
 • Viwanja Vinauzwa Dodoma Mjini.
 • Viwanja Vinauzwa Dodoma Mjini.
 • TSh 3,000,000
  Last seen 1 week ago
  065 xxx
  0653267966
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz
  Please read safety tips
  • Do not submit any upfront fees for a real estate inspection.
  • Do not go to unfamiliar places alone.
  • Double check real estate agency background.

  Similar adverts