Viwanja vipo Jirani na airport mpya ya Msalato.
Viwanja vimepimwa na utapata hati Kwa jina lako.
Unaweza lipa kwa installment au cash.
Site tunatembelea kila siku
Tuna viwanja maeneo mengine ya Dodoma kama Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Lugala, Iyumbu, Ihumwa Elshaadai, Itega, Nala Chihoni, Chidachi, Njedengwa.Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha,Sofu Picha ya Ndege, Vigwaza.