Kiwanja kizuri sana kinauzwa . kiko karibu na mnada mpya - dodoma. ukubwa wake ni 500 m2 approx.
kiwanja kimepimwa. ni mahali pazuri sana kwa makazi.
bei ni tsh 3 million. wahi ujipatie kiwanja kwa bei sawa na bure
Kiwanja kizuri sana kinauzwa . kiko karibu na mnada mpya - dodoma. ukubwa wake ni 500 m2 approx.
kiwanja kimepimwa. ni mahali pazuri sana kwa makazi.
bei ni tsh. 3,500,000. wahi ujipatie kiwanja kwa bei sawa na bure
Tangazo
nauza viwanja makaz na biashara
sqm 932 na sqm 747 vyote vipo block dh mtumba stand
umbali km 1 kutoka mji wa serikali na mita 800 kutoka mtumba stand
huduma ya maji na umeme vipo jirani
bei sqm moja 8500
call
Kiwanja kipo dodoma ilazo mita chache toka kwenye barabarani ya lami, kuna barabara zaidi ya 4 kufika site, eneo ni zuri tambarare kumeshajengeka mno. ilazo extension block d karibu na martin lurther
Kiwanja kizuri sana kinauzwa , kipo miganga north kiwanja kina ukubwa wa 600m2 kina hati kubwa ya miaka 99, kiwanja kina barabara nzuri , mahali kilipo kiwanja ni umbali wa kilomita 5 mpk mjini bungeni. bei yake milioni 7 kama unahitaj nipigie simu
kiwanja kipo iyumbu mpakani mwa chuo cha UDOM na Benjamin Mkapa hospita, huduma zotee zakijamii zinapatikana,, kiwanja kipo pembeni ya barabara. pia ndani ya kiwanja kuna viwanja 4 vya sq2m 600,, wahi jipatie kiwanja iyumbu
Property Investors (PIC) inautangaza uuzaji wa viwanja mkoa wa dodoma maeneo ya
Maeneo yapo nyuma ya mji wa ikulu
1km kutoka main road
Lipa kidogo kidogo bila riba wala dhamana
Kamilisha upata hati yako
Kwa mawasiliano zaidi