• Mahali: Ilala Shariff Shamba karibu na uwanja wa Karume
• Hadhi ya Kiwanja: Kimepimwa
• Matumizi: makazi na biashara
• Ukubwa: mita za mraba (sqm) 159
• Nyaraka: Hati
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
nyumba ina vyumba vitatu vya kulala na mabanda ya uwani • kiwanja ni cha kwenye kona • kimezungukwa na maghorofa • kinafaa kwa uwekezaji wa apartments, ghala, maduka, n.k • umeme na maji vipo
.
• Visit our listing to find more and different properties.
• If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts
Square meters: 159