Sisi Kama Kibosho Timber Yard, tunashugulika na maswala ya mbao pamoja na bidhaa tofauti tofauti zinazohusiana na mbao. pia tuna mirunda, banzi na kuni pia tunamashine za kisasa na bora kabisa Baada ya mafunzo, Waendeshaji wa Yard hutumia vifaa vya kukata Walakini, kazi za kukata tunao wataalamu zaidi kwenye viwanda vyetu hufanywa na Wataalamu wenye uzoefu wa 🪵 PiA Tuna misumari, tofalali, mbao za lenta pamoja na nondo