tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Building & Trade Services
Dodoma, Dodoma Rural
41 views

Vyumba Vitatu Simple

+1
4K Finishers co
Company Name
Domestic & Industrial
Service Type
Architectural Drawing
Type
Jinsi ya kupata ramani uitakayo kwa haraka,. unahitaji ramani na unapoteza muda mwingi kufikiri kuhusu namna ya kupata ramani uitakayo ila unaishia kupoteza muda wa kutosha ukifikiri ni nani hasa ataweza kutafsiri unachowaza kikae kwenye mchoro;Soma hapa chini; 1. Tafuta mtaalam (architect) unaweza kuanza na mimi. 2. mpe mawazo yako jinsi unavotaka nyumba yako iwe. 3. mpe muda aandae proposal akutumie kisha upitie kwa kuwa tayari mchoro upo itakuwa rahisi kufanya mabadiliko kwa kushauriana, mwache afanye mabadiliko hayo kwenye mchoro, akutumie ukiridhika mruhusu aendelee na kazi (kuandaa michoro yote inayohitajika na mamlaka) 3. hapa kipindi anaendelea kumalizia michoro yako mlipe 50% ya makubaliano yenu. 4. akikutumia michoro yote na muhuri mlipe kiasi kilichobaki 50% biashara ya mchoro inakuwa imekamilika. 5. jenga mahusiano na mtaalam wako kama hutampa kazi ya kujenga basi uhakikishe unamtumia kwa ushauri wakati wa ujenzi. p.s tunachora, tutakadiria gharama,na tunasimamia ujenzi.
Vyumba Vitatu Simple Vyumba Vitatu Simple Vyumba Vitatu Simple Vyumba Vitatu Simple
TSh 150,000 per service
Report Abuse
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and remuneration
  • Meet in person at a safe public place