tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Building & Trade Services
Dodoma, Dodoma Rural
9 views

Jengo La Biashara (Design)

+1
Dream builders
Company Name
Domestic & Industrial
Service Type
Architectural Drawing
Type
Using ArchiCAD
Drawing Execution Technology
more than 5 years
Architectural Drawing Work Experience
Unataka kujenga eneo la biashara?? soma hii ; . Tafuta mtaalam (architect) akutafsirie mawazo yako kwenye mchoro kuepuka; 1. Matumizi mabaya ya nafasi 2. Muelekeo mbovu(orientation) ya jengo lako 3. Mpangilio mbovu (zoning) wapi ikae nini na wapi pakae makaro ya vyoo n.k . Hakikisha unakuwa na msimamizi (experienced) asimamie ujenzi wako kiepuka kujenga kituko mjini, wapangaji wanataka sehemu ya kisasa ili kupunguza kazi ya marketing ya bidhaa zao, jengo likiwa smart watapanga kwa kugombania na kwa gharama zako si zao. .P.S Yapo mengi ya kukueleza lakini nimefikia mwisho wa idadi ya maneno hivyo ukiwa na hitaji la mchoro wa eneo lako la biashara na makazi njoo Whatsapp
076XXXXXXX
Jengo La Biashara (Design)
TSh 300,000 per service
Report Abuse
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and remuneration
  • Meet in person at a safe public place