Kufungua na kufunga vitabu vya mahesabu, ukaguzi wa hesabu za ndani ,kutengeneza balance sheet. P&l, kutengeneza bank reconcilliation, kudetect fraud,kutoa ushauri pale kampuni au biashara inapoonekana haipo vizuri
Requirements & Skills
Bank statement,cashbook, sales and purchases,ledger books, receipts issued by the organization,store ledger
Minimum Qualification Requirements
Advanced Diploma in Acvountancy hold at C.B.E ( Dodoma)
Minimum Experience
more than 5 years
Nipo available kwa wateja wangu wote wanaohitaji huduma yangu.ninafanya kazi kwa wakati na yenye ubora.ninatunza Siri za mteja.karibu nikuhudumie kwa huduma Bora kabisa