Impulse Sealer ni mashine inayotumika kufunga mifuko ya plastiki kwa kutumia joto ili kuzuia hewa na bidhaa kutoka nje. Inafaa kwa kufungia bidhaa mbalimbali kama vyakula, nafaka, unga, viungo na bidhaa za biashara.
Rahisi kutumia.
Hufunga mifuko kwa haraka na vizuri.
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na biashara.
Husaidia kuhifadhi bidhaa kwa usalama.