Electric Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
*shamba la hekari 495 linauzwa dakawa mnada wa mikongeni*
*distance* kilomita 5 kutoka barabara kubwa ya dodoma-dar
-lina *tractor 2 na majembe yake*, mashine ya kupandia, mashine ya kupiga dawa, kisima, mabomba ya irrigation skeem, *bwawa,* *nyumba ya wafanyakazi* na *meneja wa shamba*, kontena 3 za 20ft pamoja na sehemu ya kuhifadhi vitunguu ya makuti.
-hati ipo (title deed)
*bei shilingi bilioni 1.2 maongezi yapo*
please call au